Posts

Showing posts from November, 2019

SULUHISHO LA KINGA YA MWILI

[07:18, 11/2/2019] Ralph🌡💊💉🦠🧬🔬: MIILI YETU I SALAMA SALMINI ni nini hutulinda? Nini hisaidia miili yetu kujilinda dhidi ya virusi au bacteria? Jibu *MFUMO WA KINGA* ✔watu huzaliwa na mfumo wa kinga ✔mfumo wa kinga huulinda mwili dhidi ya virusi,bacteria,fangasi wabaya ✔asilimia 99% ya nagonjwa ya binadamu huhusiana /yanatokana na mfumo wa kinga MFUMO WA KINGA UNAWAJIBIKA KATIKA KUPAMBANA NA 👉sumu 👉hewa chafu 👉fangas wabaya 👉virusi 👉bacteria wabaya 👉parasites Katika mwili wa binadamu kuna organi ambazo zinahusika na mfumo wakinga ▪TONSILS na ADENOIDS ▪LYMPH NODES ▪LYMPHATIC VESSELS ▪THYMUS ▪SPLEEN ▪PEYERS' PATCHES ▪APPENDIX ▪BONE MARROW Mfumo wa kinga unahusisha vifuatavyo (Components of immune system) ▪Immune cells ▪lymphocytes ▪immune molecular ▪immunoglobulin ▪cells factors Haya yote niliyoyataja hapo juu yanahusika na ulinzi wa mwili dhidi ya magonjwa Sasa tuangalie jinsi *mfumo huo wa ulinzi* ulivyo MFUMO WA ULINZI( *defe

AFYA YA MIFUPA NA MAUNGIO YETU

[17:35, 11/2/2019] Ralph🌡💊💉🦠🧬🔬:  HIVI USHAWAHI KUFIKIRIA KUHUSU AFYA YA MIFUPA NA GWEGWEJU? (bones and cartilage) Unafurahia kusafiri kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kwa sababu mifupa na gwegeju hukusaidia kutembea Unapenda na unaweza kucheza kwa sababu mifupa na gwegweju inakuwezesha kufanya hivyo kwa ustadi Unacheza piano vizuri kwa sababu uko na vidole laini na flexible LAKINI USHAWAHI KUONA WATU HAWA? ▪wanatumia muda mrefu kupand ngazi kwa sababu kila hatua ni maumivu kwao ▪wanahitaji msaada wa watu ili watembee japo kwenda chooni ▪vidole vyao vimevimba siyo laini tena ▪kutumia maji baridi kwao ni shida ▪magoti yao hupata maumivu hasa majira yanapobadilika NINI HUTOKEA KWAO???? Vitu muhimu vya kujua👇👇👇👇👇👇 Maungio ya mwili hupatikana sehemu zifuatazo 👉bega 👉kiwiko 👉nyonga 👉vidole 👉enka 👉goti 👉mkono 👉uti wa mgongo [11:47, 11/3/2019] Ralph🌡💊💉🦠🧬🔬: KAZI ZA MAUNGIO Kuunganisha mifupa Kuruhusu mwendo Kuzuia mifu

KWA NINI KUSAHAU SAHAU

TATIZO LA KUSAHAU SAHAU Y[10:24, 11/5/2019] Ralph🌡💊💉🦠🧬🔬: Hilo ni suala la mfumo wa fahamu Ubongo umegawanyika katika sehemu kuu tatu Kila sehemu ina roles zake Jambo la kumbukumbu NA moja kati ya kazi za ubongo kwa kuwa ndiyo kazi yake kutunza kumbukumbu. Ubongo hupoteza uwezo wake wa kutunza kumbukumbu kutokana na lifestyle na vyakula tunavyovitumia Ubongo nao unahitaji chakula ili uweze kufanya kazi yake kikamilifu Suluhisho lipo Kuna kutumia >vyakula vinavyoboost kumbukumbu >kufanyia mazoezi kukumbuka, Au kwa kutumia suppliment ambazo BF SUMA wako nazo Bf suma imerahisisha badala ya wewe kutafuta vyakula ambavyo usingeweza kuvipata wao wamekuwekea katika mfumo wa dawa aina  mbalimbali za vyakula maalumu kwa ajili ya afya ya ubongo [10:31, 11/5/2019] Ralph🌡💊💉🦠🧬🔬: Maelezo kiurefu wake  kuhusu tatizo la kusahau sahau Kusahau sana ni hali inayoweza kumfanya mtu akajichukia sana, kukosa raha na kua na mawazo sana afanye nini kupambana na adha

TATIZO LA KIUNGULIA

*KIUNGULIA* Kiungulia dalili inayotokana na kiasi kikubwa cha tindikali ilioko tumboni kurudi juu katika mpira wa kwanza wa chakula (esophagus) *Dalili zingine* ▪Chakula kurudishwa mdomoni. ▪Ugumu kumeza chakula na vimiminika Dalili zingine zaweza tokea kama; ▪Kikohozi ▪Maumivu kifuani ▪Magonjwa ya meno ▪Koo kavu au sauti ya ukakasi ▪Maradhi ya masikio *Vipimo* ▪kamera maalum kuangalia hali ya koo (endoscopy) ▪Picha za kifua nk *Matibabu Yasio ya Dawa.* 🔸punguza uzito 🔸kuacha kutumia pombe, juisi kali kama za machungwa,  tomato sosi, chocolate, kahawa, 🔸kula posheni ndogo ndogo za chakula badala ya lumbesa kwa wakati mmoja 🔸kulaa saa 3 kabla ya kwenda kulala 🔸tumia mto wakati wa kulala *Matibabu ya Dawa.* 🔸dawa za kupunguza uzalishaji wa tindi kali (ppi na H2 antagonists) 🔸dawa za kupunguza ukali wa tindi kali (anti acids) 🔸dawa za kusaidia kuondoa chakula tumboni kwa wakati. *Matibabu Ya Virutubisho.* ☕CONSTIRELAX SOLUTION. *Upasuaji* Ku

THE BIG WEIGHT LOSER

*UNAHITAJI KUJIWEKA FITI?* Bila shaka unapata shida kufanya uchaguzi 👉ule au usile 👉ule diet yenye nyama au mbogamboga KULA KIDOGO HAKUKUFANYI UZITO WAKO UPUNGUE 👉watu wengi hifikiri kuwa kula milo michache kunaweza kuwasaidia wapuungue haraka IPO HIVI ▪Unapoanza kula milo michache mwili hujirekebisha (adjust) na kupunguza utendaji kazi wake (body metabolism) ▪unapokula wakati unanjaa absorption ya chakula huwa ni kubwa zaidi mwilini ▪unapokula matund na mbogamboga tu,kiasi kikubwa cha cellulose/nyuzinyuzi hubadilishwa haraka na kuwa glucose ▪kufanya yote haya unapoteza uzito mdogo sana.na ni misuli ambayo huwa inapungua/be consumed ili kuondoa na kumaliza sukari ya damu KWA SABABU UNA *WILLPOWER* YA KUPUNGUZA UZITO hata ubongo wako hukujaribu /hukushawishi 👉Utafiti wa kisayansi unaonesha kwamba:- ▪ vyakula vyenye calorie nyingi vinavutia zaidi ubongo kuliko vile vyenye calorie ndogo hasa wakati wa njaa kuliko ukiwa umeshiba ▪Unaweza kuta kwamba unapotumia