KWA NINI KUSAHAU SAHAU

TATIZO LA KUSAHAU SAHAU

Y[10:24, 11/5/2019] RalphπŸŒ‘πŸ’ŠπŸ’‰πŸ¦ πŸ§¬πŸ”¬:

Hilo ni suala la mfumo wa fahamu

Ubongo umegawanyika katika sehemu kuu tatu

Kila sehemu ina roles zake
Jambo la kumbukumbu NA moja kati ya kazi za ubongo kwa kuwa ndiyo kazi yake kutunza kumbukumbu.

Ubongo hupoteza uwezo wake wa kutunza kumbukumbu kutokana na lifestyle na vyakula tunavyovitumia

Ubongo nao unahitaji chakula ili uweze kufanya kazi yake kikamilifu

Suluhisho lipo
Kuna kutumia >vyakula vinavyoboost kumbukumbu
>kufanyia mazoezi kukumbuka,

Au kwa kutumia suppliment ambazo BF SUMA wako nazo

Bf suma imerahisisha badala ya wewe kutafuta vyakula ambavyo usingeweza kuvipata wao wamekuwekea katika mfumo wa dawa aina  mbalimbali za vyakula maalumu kwa ajili ya afya ya ubongo

[10:31, 11/5/2019] RalphπŸŒ‘πŸ’ŠπŸ’‰πŸ¦ πŸ§¬πŸ”¬:

Maelezo kiurefu wake  kuhusu tatizo la kusahau sahau


Kusahau sana ni hali inayoweza kumfanya mtu akajichukia sana, kukosa raha na kua na mawazo sana afanye nini kupambana na adha hiyo..

Hii ni hali ambayo inaathiri watu wengi sana yaani wakubwa na wadodo kulingana na chanzo lakini inakua mbaya zaidi mtu anavyozidi kuongezeka umri kwani seli za ubongo zinazidi kupungua zaidi.
Kuna hali kitaalamu inaitwa dementia ambayo hutokea mara nyingi katika umri mkubwa na huambatana na kusahau kuliko pitiliza yaani kupotea katika mazingira unayoyafahamu, kusahau majina ya kawaida kabisa kama embe, pazia, kiti na meza, kurudia kuuliza swali la aina moja kila siku, na kuchanganyikiwa lakini hali huu huletwa na magonjwa Fulani mfano Alzheimer's disease{hii hali ni hatari na hutibiwa kitaalamu}

Lakini watu wengi hawafiki huko, ila watu wengi sasa wanasahau vitu vya kawaida sana yaani unakuta mtu kaenda na baiskeli au gari sehemu afu karudi kwa mguu na kuvisahau huko, mtu anasoma sasa hivi afu akifunika kitabu amesahau, unaweka pochi sehemu unasahau uliweka wapi, unameza dawa afu baadae hukumbuki kama ulimeza au vipi, unasahau pesa mfukoni, unapewa kazi afu unasahau kuifanya na kadhalika..

BAADHI YA SABABU ZA KUSAHAU

Hali hizi sasa zinawatesa watu wengi na hawajui wafanye nini, lakini kuna tabia kadhaa ambazo zinaambatana na hali hizi kama ifuatavyo..

Kukosa usingizi:
 binadamu anatakiwa apumzike mpaka masaa nane kwa siku moja, lakini kutokana na ugumu wa maisha watu hujikuta wanalala mpaka masaa manne kwa siku. Hii huathiri uwezo wa kufikiri na kusahau kirahisi sana.

Madawa:
dawa zinazotibu magonjwa mbalimbali hua na madhara madogo madogo ambayo yanaleta kusahau.. mfano dawa za kutibu presha kama captopril, dawa za kutibu madonda ya tumbo mfano cimetidine na dawa za kutibu mgandamizo wa mawazo mfano amitriptyline.

Ulevi:
 unywaji wa pombe uliopitiliza huharibu uwezo wa kumbukumbu za mda mfupi yaani kusahau kitu umekifanya mda huo huo hivyo inashauriwa kunywa pombe kiafya. Yaani bia mbili kwa siku mwanaume na bia moja kwa siku mwanamke ambazo hazina alcohol zaidi ya asilimia tano zinatosha kiafya.

Mgandamizo wa mawazo:
 kitu chochote kinachokufanya ushindwe kutuliza akili, kitakufanya usahau sana na kushindwa kupata kumbukumbu ulizoziweka siku za nyuma.

Upigaji wa punyeto:
 tatizo hili la kusahau kwasababu ya punyeto ndio chanzo kikuuu kwa vijana wengi chini ya miaka 35 kwani tabia hii huambatana na maumivu ya kichwa, uchovu mwingi na kusahau kusiko kwa kawaida.

Uvutaji wa sigara:
sigara ina kemikali iitwayo nikotini ambayo huenda kwenye ubongo na kuua seli za ubongo na kumfanya mtu asahau sana.

Kutokua makini
 tatizo la kufanya mambo haraka haraka huleta kusahau sana, kama wewe una mambo mengi amka mapema uyafanye ila ukianza kukimbia kimbia njiani ndio chanzo kikuu cha kusahau mambo mengine, pia tabia ya wanafunzi kusoma kwenye kelele sana au huku wanasikiliza mziki hujikuta hawaambulii kitu baada ya kufunika daftari.

[10:34, 11/5/2019] RalphπŸŒ‘πŸ’ŠπŸ’‰πŸ¦ πŸ§¬πŸ”¬:

Matibabu yake ni panoja na kutoyafanya yaliyoorodheshwa hapo juu

Tumia virutubisho ambvyo havina madhara kwa kuwa vimetengebezwa tu kwa aina mbali mbali za vyakula na mimea
Tumia CELEBRAIN TABLET kuondoa tatizo lako

@raphael
+255621493637

Comments

Popular posts from this blog

DIFFERENCE BETWEEN MLM VS PYRAMID SCHEME

BF SUMA

TUMBO KUJAA GESI SIO JAMBO LA KUHANGAIKA UKIWA NA HUDUMA ZA BF SUMA