SULUHISHO LA KINGA YA MWILI

[07:18, 11/2/2019] Ralph🌡💊💉🦠🧬🔬:

MIILI YETU I SALAMA SALMINI
ni nini hutulinda?
Nini hisaidia miili yetu kujilinda dhidi ya virusi au bacteria?


Jibu
*MFUMO WA KINGA*

✔watu huzaliwa na mfumo wa kinga
✔mfumo wa kinga huulinda mwili dhidi ya virusi,bacteria,fangasi wabaya
✔asilimia 99% ya nagonjwa ya binadamu huhusiana /yanatokana na mfumo wa kinga

MFUMO WA KINGA UNAWAJIBIKA KATIKA KUPAMBANA NA
👉sumu
👉hewa chafu
👉fangas wabaya
👉virusi
👉bacteria wabaya
👉parasites

Katika mwili wa binadamu kuna organi ambazo zinahusika na mfumo wakinga
▪TONSILS na ADENOIDS
▪LYMPH NODES
▪LYMPHATIC VESSELS
▪THYMUS
▪SPLEEN
▪PEYERS' PATCHES
▪APPENDIX
▪BONE MARROW

Mfumo wa kinga unahusisha vifuatavyo
(Components of immune system)

▪Immune cells
▪lymphocytes
▪immune molecular
▪immunoglobulin
▪cells factors

Haya yote niliyoyataja hapo juu yanahusika na ulinzi wa mwili dhidi ya magonjwa

Sasa tuangalie jinsi *mfumo huo wa ulinzi* ulivyo

MFUMO WA ULINZI( *defence lines*)
Kuna jumla ya defence line tatu
👉physical defence
👉white blood cells
👉lymphocytes(aina flani ya seli nyeupe)

Mfumo wa kwanza(line 1)
PHYSICAL DEFENCE
>hujumuisha ngozi,mucusi(uteute),membranes

>line hii ya kwanza ni kama ukuta ambao huzuia vimelea vya magonjwa visiingie mwilini

MFUMO WA 2(line 2)
>ikitokea vimelea vikabomoa ukuta na kuweza kuingia mwilini,white blood cells(seli nyeupe za damu/line 2) huanza kufanya kazi

>seli hizi humeza hivyo vimelea vya magonjwa,huvivunja vunja na kuviua

MFUMO WA TATU(line 3)

▪activating lymphocytes producing antibody

>ikiwa line ya 2 haiwezi kuwaua,line 3 huanza kazi mara moja

>hapo lymphocytes huzalisha ANTIBODIES ambazo huvikamata vimelea hivyo na kuzishawishi seli nyeupe kuviua

LINE 2 ZA MWANZO za ulinzi hutokea sehemy ya nje ya mwili na dalili zake mi pamoja na
👉wekundu
👉uvimbe
👉maumivu katika uvimbe
👉inflamation

LINE YA TATU ya ulinzi huambatana na reactions mbalimbali
Dalili zake ni HOMA



[07:22, 11/2/2019] Ralph🌡💊💉🦠🧬🔬:

KAZI ZA KINGA YA MWILI
▪kupambana na magonjwa
▪kuoambana na kuzeeka
▪kuboresha afya
▪kuzuia kansa

MADHARA YA UPUNGUFU WA KINGA
▪ *Ni rahisi zaidi kupata mafua*(cold and flu)
▪kuzeeka haraka
▪hatari ya kupata kansa

*je kinga yakoipoje*
Hebu jichunguze
❓je,unapata mafua kirahisi,na ugonjwa unachelewa kupona
❓ukijikata unachelewa kupona
❓unakuwa confortable mpaka ukitumia madawa
❓mara nyingi unajisikia hovyo na unajihisi kukosa nguvu
❓unajisikia maumivu ya mgongo
❓upotevu wa nywele bila sababu

Hizi ni dalili za kwamba kinga yako ni ndogo

@Raphael



[07:24, 11/2/2019] Ralph🌡💊💉🦠🧬🔬:

 *BF SUMA* ina suluhisho la kuimarisha kinga ya mwili
👉1 Tunakushauri uwe na LIFESTYLE nzuri
👉2 ututumie VIRUTUBISHO LISHE

LIFESTYLE
▪pata muda mzuri wa kupumzika
▪kula mboga za majani
▪acha kula vyakula vilivyookwa
▪kunywa maji kwa wakati
▪kuwa na mood nzuri wakati wrote
▪fanya mazoezi mara kwa mara

FOOD NUTRITION(virutubisho lishe)
👉Tumia virutubisho bora kwa ajili ya kuimarisha kinga yako

BF SUMA ina kirutubisho kinachokwenda kwa jima la  *GANODERMA LUCIDUM*

Ganodema lucidum(latin name for REISHI)
Ni aina ya uyoga nchini japan na uchina,ambao ekuwa ukichukuliwa kama uyoga wa UZIMA kwa sababu ilikuwa I asemekana unaweza luo geza muda wa kuishi

KAZI ZA GANODERMA LUCIDUM
▪kuimarisha mfumo wa kinga ya mwili
▪Kuboresha afya ya mwili
▪Kupambana na uzee

KUIMARISHA KINGA
👉kuondoa risk ya kupata mafua mara kwa mara
👉kuondoa risk ya kupata kansa
👉kuondoa madhara yatokanayo na mionzi(radiation therapy)
🐊Mafua (cold and flu) husababishwa na virusi
✔Ganoderma hupunguz Risk ya kupata mafua
✔huimarisha mfumo wa kinga na kuongeza seli za kinga
✔kinga imara huweza kudhibiti uvamizi wa vimelea vingine vya magonjwa mengine yatokanayo na mafua
 ▪ *kama mtu ana kinga pungufu na kama mapata mafua,hatari ya kupata magonjwa mengine ni kubwa*
▪ *vimelea hivyo vya magonjwa vinaweza kuvamia kwenye organi zingine na kusababisha matatizo*
▪ *kinga imara husaidia mwili kujiponya wiki moja baada ya kupata mafua*

@raphael
0621493637

Comments

Popular posts from this blog

DIFFERENCE BETWEEN MLM VS PYRAMID SCHEME

BF SUMA

TUMBO KUJAA GESI SIO JAMBO LA KUHANGAIKA UKIWA NA HUDUMA ZA BF SUMA