TATIZO LA KIUNGULIA

*KIUNGULIA*

Kiungulia dalili inayotokana na kiasi kikubwa cha tindikali ilioko tumboni kurudi juu katika mpira wa kwanza wa chakula (esophagus)

*Dalili zingine*

▪Chakula kurudishwa mdomoni.
▪Ugumu kumeza chakula na vimiminika

Dalili zingine zaweza tokea kama;
▪Kikohozi
▪Maumivu kifuani
▪Magonjwa ya meno
▪Koo kavu au sauti ya ukakasi
▪Maradhi ya masikio

*Vipimo*

▪kamera maalum kuangalia hali ya koo (endoscopy)
▪Picha za kifua nk

*Matibabu Yasio ya Dawa.*

🔸punguza uzito
🔸kuacha kutumia pombe, juisi kali kama za machungwa,  tomato sosi, chocolate, kahawa,
🔸kula posheni ndogo ndogo za chakula badala ya lumbesa kwa wakati mmoja
🔸kulaa saa 3 kabla ya kwenda kulala
🔸tumia mto wakati wa kulala

*Matibabu ya Dawa.*

🔸dawa za kupunguza uzalishaji wa tindi kali (ppi na H2 antagonists)
🔸dawa za kupunguza ukali wa tindi kali (anti acids)
🔸dawa za kusaidia kuondoa chakula tumboni kwa wakati.

*Matibabu Ya Virutubisho.*
☕CONSTIRELAX SOLUTION.

*Upasuaji*

Kuna madhara yanayosababishwa na tindikali yanaweza lazimisha kufanya upasuaji daktari wa tumbo _gastroenterologist_ ndio atatoa tahmini.

@Raphael
+255621493637
*BF SUMA, BETTER LIFE BETTER FUTURE.*

Comments

Popular posts from this blog

DIFFERENCE BETWEEN MLM VS PYRAMID SCHEME

BF SUMA

TUMBO KUJAA GESI SIO JAMBO LA KUHANGAIKA UKIWA NA HUDUMA ZA BF SUMA