AFYA YA MIFUPA NA MAUNGIO YETU

[17:35, 11/2/2019] Ralph🌡💊💉🦠🧬🔬:

 HIVI USHAWAHI KUFIKIRIA KUHUSU AFYA YA MIFUPA NA GWEGWEJU? (bones and cartilage)

Unafurahia kusafiri kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kwa sababu mifupa na gwegeju hukusaidia kutembea

Unapenda na unaweza kucheza kwa sababu mifupa na gwegweju inakuwezesha kufanya hivyo kwa ustadi

Unacheza piano vizuri kwa sababu uko na vidole laini na flexible

LAKINI
USHAWAHI KUONA WATU HAWA?
▪wanatumia muda mrefu kupand ngazi kwa sababu kila hatua ni maumivu kwao
▪wanahitaji msaada wa watu ili watembee japo kwenda chooni
▪vidole vyao vimevimba siyo laini tena
▪kutumia maji baridi kwao ni shida
▪magoti yao hupata maumivu hasa majira yanapobadilika


NINI HUTOKEA KWAO????

Vitu muhimu vya kujua👇👇👇👇👇👇

Maungio ya mwili hupatikana sehemu zifuatazo

👉bega
👉kiwiko
👉nyonga
👉vidole
👉enka
👉goti
👉mkono
👉uti wa mgongo




[11:47, 11/3/2019] Ralph🌡💊💉🦠🧬🔬:

KAZI ZA MAUNGIO
Kuunganisha mifupa
Kuruhusu mwendo
Kuzuia mifupa kusuguana


Mara nyingi watu hujali afya zao kiujumla lakini huwa wanasahau  kuhusu afya ya mifupa na maungio

Kutojali afya ya mifupa kunaweza kusababisha magonjwa kama OSTEOARTHRITIS(OA) au OSTEOPOROSIS

OSTEOARTHRITIS(OA)
▪Ni ugonjwa tishio sana kwa afya ya mifupa na maungio
▪Ni ugonjwa unaosababishwa na kudhorota kwa gwegweju ndani ya maungio
▪hutokana na material ya gwegweju ( *proteoglycans* ) kupungua kuzalishwa
▪dalili zake hujumuisha maumivu ya maungio,ugumu wa maungio,kukaza kwa kwa maungio.....

👉Ncha za mifupa zinapokuwa hazijafunikwa vizuri na gwegeju,mifupa husuguana.
👉Mifupa ikisagana husababisha maumivu makali tunapotembea.

Shida hii inaweza kutokea sehemi zifuatazo
▪maungio ya vidole
▪magoti
▪nyonga
▪uti wa mgongo
▪shingo



[13:19, 11/3/2019] Ralph🌡💊💉🦠🧬🔬:

JINSI YA KUTIBU
👉kwa kupunguza uzito
kama vile
-jogging
-kuendesha baiskeli
-kuogelea

Hasara zake
Inachukua muda mrefu kupat ahueni


👉dawa za kupinguza maumivu
Hizi hupunguza maumivu katika maungio

Athari zake
-husababisha madhara mengine hasa katika mfumo wa chakula e.g vidonda vya tumbo

🐽𢑕PASUAJI
kuondoa na kuweka maungio mapya

Athari zake
Ni gharama kubwa


OSTEOARTHRITIS NI NGUMU SANA KUIPONYA NUTUPINYA LAZIMA TUZUIE MAPEMA IWEZEKANAVYO

NAMNA YA KUZUIA
Tumia ARTHROEXTRA TABLET
ArthroExtra ni nzuri katika kuzuia OSTEOARTHRITIS


ARTHROXTRA ina viambata viwili
👉GLUCOSAMINE
👉CHONDRIOTIN


GLUCOSAMINE kwa kawaida huwepo kwenye mwili
Ni amino acid ambayo huunganisha misuli

Kazi zake ni kutengeneza uteute katika maungio
Ni material kwa ajili ya sinthesis of physical substances

Glucosamine hupungua kadiri umri unavyoongezeka(zeeka)

Mwili huweza kusharabu kiwango kidogo tu cha glucosamine kutoka kwenye vyakula vya kila siku

Glucosamine hutoa material ambayo huenda kutengenwza PROTEOGLYCAN, ambayo ni component ya gwegweju(cartilage)

Glucosamine huzuia enzymes(vichochezi) ambavyo huharibu cellza gwegweju

Husisimua uzalishaji wa proteoglycan ili kuilinda gwegweju

CHONDRIOTIN
Husaidia kuongeza concentration ya glucosamine

Hubalance uteute wa kwenye joints

Kubalance kiwango cha maji kwenye joints

Kuimarisha mafupa



FAIDA ZA ARHLTHROXTRA

Ina viambata viwili vinavyotibu mifupa na gwegweju

Huondoa  maumivu ya maungio

Hurudisha mwendo wako wa zamani(kutembea vizuri)



Inatumiwa na wote wenye changamoto changamoto zifuatazo
👉maumivu makali ya mifupa na maungio
👉maungio yaloharibika
👉huchelewesha uzeekaji haraka wa mifupa na maungio


Kwa suluhisho la changamoto ya mifupa wasiliana na BF SUMA

BF SUMA WANAOFFER VIRUTUBISHO VINNE KWA AJILI YA SULUHISHO LA MIFUPA NA MAUNGIO NA MISULI


GLUZOJOINT-kwa ajili ya OSTEOARTHRITIS

ARTHROXTRA-kwa ajili ya double nourishment ya OSTEOARTHRITIS

ARTHROSTRETH-kwa ajili ya OSTEOARTHRITIS NA OSTEOPOROSIS

ZAMINOCAL,kwa ajili ya misuli na kuimarisha mifupa


@raphael
+255621493637

Comments

Popular posts from this blog

DIFFERENCE BETWEEN MLM VS PYRAMID SCHEME

BF SUMA

TUMBO KUJAA GESI SIO JAMBO LA KUHANGAIKA UKIWA NA HUDUMA ZA BF SUMA