TUMBO KUJAA GESI SIO JAMBO LA KUHANGAIKA UKIWA NA HUDUMA ZA BF SUMA
CHANGAMOTO YA TUMBO KUJAA GESI. Tatizo la kujaa gesi tumboni kwa kitaalamu linaitwa *bloating* . Hutokea pale ambapo hewa au maji hujaa katika mfumo wa chakula na kupelekea tumbo kuhisi kama limebana, kujaa au hisia za kushiba sana. Muda mwingine huambatana na *maumivu makali, kubeua sana (bleaching), kutoa hewa kwa njia ya haja kubwa na tumbo kuunguruma.* *Visababishi* 1. Hewa •hiki ni kisababishi kikuu hasa baada ya kula. •Gesi hujaa tumboni pale ambapo chakula kisichomengenywa kuvunjwa kwa lazima, au kumeza hewa nyingi kipindi unakula au kunywa. •Kumeza hewa nyingi huletwa na : *mtu kula harakaharaka, uvutaji wa sigara na utafunaji wa bigiji*. •Mara nyingi hewa hii hutoka kwa njia ya hewa *(kubeua)* au kwa njia ya haja kubwa. 2. Sababu za kiafya •kuongezeka uzito •kiungulia •Magonjwa kama : Inflammatory bowel disease *yaani kuvimba kwa utumbo au mfumo wa kumengenya chakula*. •Uwingi wa homoni hasa kwa wanawake •Na magonjwa mengine ya ufahamu kama sonona na magonjwa...
Comments
Post a Comment