UTASHINDAJE?
NGUVU YA MAFANIKIO YAKO, IMEJIFICHA KWENYE UOGA WAKO, UKIFANYIA KAZI VILE UNAVYOVIOGOPA UTAONA JINSI ULIVYOKUWA UNAJICHELEWESHA KUYAFIKIA MAFANIKIO YAKO, UOGA NI UDHAIFU UFANYIE KAZI, UTAONA SIRI YA KUWA JASIRI,
@shukrani magoti
@shukrani magoti
Comments
Post a Comment