TUMBO KUJAA GESI SIO JAMBO LA KUHANGAIKA UKIWA NA HUDUMA ZA BF SUMA

CHANGAMOTO YA TUMBO KUJAA GESI.

Tatizo la kujaa gesi tumboni kwa kitaalamu linaitwa *bloating* . Hutokea pale ambapo hewa au maji hujaa katika mfumo wa chakula na kupelekea tumbo kuhisi kama limebana, kujaa au hisia za kushiba sana. Muda mwingine huambatana na *maumivu makali, kubeua sana (bleaching), kutoa hewa kwa njia ya haja kubwa na tumbo kuunguruma.*

*Visababishi*
1. Hewa

•hiki ni kisababishi kikuu hasa baada ya kula.
•Gesi hujaa tumboni pale ambapo chakula kisichomengenywa kuvunjwa kwa lazima, au kumeza hewa nyingi kipindi unakula au kunywa.
•Kumeza hewa nyingi huletwa na : *mtu kula harakaharaka, uvutaji wa sigara na utafunaji wa bigiji*.
•Mara nyingi hewa hii hutoka kwa njia ya hewa *(kubeua)* au kwa njia ya haja kubwa.

2. Sababu za kiafya

•kuongezeka uzito
•kiungulia
•Magonjwa kama : Inflammatory bowel disease *yaani kuvimba kwa utumbo au mfumo wa kumengenya chakula*.
•Uwingi wa homoni hasa kwa wanawake
•Na magonjwa mengine ya ufahamu kama sonona na magonjwa yanayosbabisha mabadiliko katika kula "eating disorders"

*NB:* Kuna magonjwa mengine mengi ya mfumo wa chakula yanayoweza kusababisha hali ya kujaa tumbo

*Nini nifanye nikihisi kujaa kwa tumbo*

1. Mabadiliko ya mfumo wa maisha

•Unaweza punguza uzito wako kwa kuangalia vyakula unavyokula na kufanya mazoezi.
•Kupunguza au kuacha kutafuna bigiji
•Punguza unywaji wa vinywaji vilivyosindikwa yaani *soda,juisi zilizotengenezwa viwandani*
•Punguza ulaji wa vyakula vinavyotoa gesi kama *maharage*
•Kula chakula vizuri na taratibu na kwa kutafuna mpaka kilainike.
•masaji tumbo angalau dakika 15 mara 2 kwa siku.

*NOTE: CONSTIRELAX SOLUTION, IMEKUWA SULUHISHO KUBWA KWA CHANGAMOTO ZA GESI TUMBONI, VIDONDA VYA TUMBO NA CHANGAMOTO ZOTE ZA MMENG'ENYO WA CHAKULA.*

2. Kumuona daktari pale ambapo tatizo linakuwa ni la kujirudia kwa ajili ya vipimo zaidi na matibabu sahihi,
Kwa Ushauri na Matibabu Tafadhari Walisiana Nasi Kupitia namba 0621 493 637

BF SUMA, BETTER LIFE, BETTER FUTURE.


Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

DIFFERENCE BETWEEN MLM VS PYRAMID SCHEME

BF SUMA