MATATIZO YA KUUGUA KICHWA KWA MUDA MREFU

FAHAMU TATIZO LA KUUMWA KICHWA KWA MUDA MREFU/MARA KWA MARA  NA SULUHU ZAKE


Tatizo hili la kuumwa na kichwa limegawanyika katika sehemu kuu nyingi sana japokuwa 1% yake ni ashirio la matatizo ya kiafya ambayo yameadvance sana km vile concusion of brain, meningitis, encephalitis na stroke. Kuumwa na kichwa inawezatokana na matatizo ya taya, meno au hata kula vitu vya baridi zaidi, vyakula vyenye nitrite au monosodium glutamate. Sehemu ambazo huuma ni kama mfumo wa fahamu ambao upo kwenye fuvu la kichwa, badhi ya neva za fahamu zilizoko usoni.

Yafuatayo ni baadhi ya maumivu ya kichwa....

1. NERVOUS TENSION HEADACHES
Ni maumivu ya kichwa endelevu upande mmoja au pande zote za misuli ya shingo na upande wa juu wa mgongo, kuumwa na kichwa pamoja na kusinzia. Tumia Vitamin B2 na C. Punguza au acha matumizi ya sukari, kahawa, chakula chenye kukusababishia mzio, misongo ya mawazo na ufanye mazoezi ya kutosha.

2. CLUSTER  HEADACHES
Kichwa kuumwa hasa upande mmoja wa kichwa hasa kwa maumivu makali, machozi humtoka mtu na makamasi kwa mbali. Kitu cha kwanza kufanya ni kutumia chakula chenye protin ya kutosha, epukana na chakula chenye mzio wako
3. HANG OVER  HEADACHES
Hii ni hali ya kuumwa kichwa kutokana na matumizi makubwa ya vinywaji vikali hasa pombe. Weka barafu chini ya kichwa yaani maeneo ya kisogoni au shingoni, kunywa maji mengi na juice ya matunda fresh au uache kabisa pombe

4. EXERTION HEADACHES
Hutokea pale ambapo mwili utatumika sana na hasa kwenye NGONO, Weka barafu eneo linalouma, kula mlo kamili na ufanye mazoezi
5. CAFFEIN HEAD ACHES
Hutokea pale ambapo umeacha matumizi makubwa sana ya kahawa/Energy drinks kwa ghafla. Kunywa kiasi kidogo cha kahawa/energy drinks kuondoa maumivu na upunguze matumizi ya kahawa/energy drinks kidogokidogo mpaka utakapoacha kabisa

6. SINUS HEADACHES
Maumivu haya huanzia upande wa kulia na kushoto wa pua na kupanda mpaka kichwani. Kula vyakula vya Vitamin C kwa wingi na umuone mtaalamu wa Afya maana saa zingine hutokana na maambukizi
9. EYES RAM HEADACHES
Hutokea maumivu kwenye macho na wengi hudhani labda wameangalia vibaya japo inaweza kuwa sababu, lakin chanzo chake hasa ni ubongo kufanya kazi kupita kiasi. Badili mtindo wa maisha kama ni mtumiaji wa miwani ni vyema ukamuona mtaalam aangalie kama lensi zimepoteza nuru au laa..

10. MENSTRAL HEADACHES
Hii hutokea kwa akinamama kipindi yai limepevuka. Hutokana na mabadiliko au mvurugiko wa homoni. Hali hii inaweza kuambatana na maumivu ya tumbo. Tumia Virutubisho  vya REFINED YUNZHI ESSENSE na FEMICARE humaliza kabisa tatizo hilo.
11. ARTHRITIS HEADACHES
Haya ni maumivu ya kichwa yanayosikika mpaka shingoni na wakati mwingine mgongoni ambayo busababisha maumivu hasa unapozidisha mwendo au shughuli. Kitu kikubwa ni kutibu ugonjwa unaosababisha hali hiyo(tatizo la mifupa)Tumia ZAMINOCAL/ANTHROEXTRA humaliza kabisa tatizo hilo

12. HYPERTANTIONS HEADACHES
Ni maumivu ya kichwa chote, mwendo mkubwa pia huongeza maumivu. Hali hii husababishwa na shinikizo la damu. Tibu au pambana kushusha shinikizo la damu kwa kutumia MICRO2 CYCLE  na tatizo hili litaisha kabisa

Asante sana na karibu kwa makala zijazo

  Suluhu ya tatizo dawa zote zilizotajwa zinapatikana

Raphael komba
Health consultant
0621 493 637

Comments

Popular posts from this blog

DIFFERENCE BETWEEN MLM VS PYRAMID SCHEME

BF SUMA

TUMBO KUJAA GESI SIO JAMBO LA KUHANGAIKA UKIWA NA HUDUMA ZA BF SUMA