IJUE BF SUMA
Ijue BF SUMA Company profile
Maana ya BF SUMA ni
B- *Bright* ,,
F- *Future* ,,
S- *Superior* ,,
U- *Unique* ,
M- *manufacturer of*
A - *America* ...
Mnamo mwaka 1993- bfsuma walianzia Hongkong {China} {kama kampuni ya kuzalisha madawa}ya mifupa na viungo {bones &Joints}.. ```
```Mnamo mwaka 1995 - kampuni ilipanuka na kufungua Marekani katika Jiji LA Gharama kuishi Los Angeles na kuweka kiwanda Cha Kuzalisha Virutubisho {food Supplement}...
Mnamo mwaka 2000:- kampuni ilipewa Vibali na Vyeti Vya kutambua Ubora wao kama :- G.M.P {Good Manufacturing Practice} na FDA {Food and Drugs Adminstration},,baadae kampuni tena Ikaendelea Pata Vibali kama G.L.P {Good Laboratory Practise } na Halal:- kibali cha utambuliz kwa jamii ya kiislamu na imani kuwa halali kwa matumiz..```
```2004:- Waliweza kufungua soko lao Africa kupitia nchi iitwayo Benin
2011:- kampuni ilisogea hadi nchi jirani ya Kenya na kutua Afrika Mashariki...ambako imezaa vyema na kustawil Sana hadi sasa
*2012* :- Waliweza kuingia Tanzania na kusajiliwa kisheria na kufanikiwa kupata kibali cha TFDA,makao makuu ya TANZANIA Yako Dar MIKOCHENI ambapo walinunua jengo LA ghorofa ..
Mnamo mwaka 2013:- waliweza kuingia Uganda,Nigeria ,Zambia na wanaendelea kupanua masoko yao katika nchi zingine za Africa...
Bfsuma Africa ,wako na wanachama au wasambazaji wasio pungua 10,000 na sasa ni zaidi ..........
BFsuma we care ,we share.....```
```****TRAINING TIME****.
Makundi Ya Bidhaa Ya BFsuma...
👉Bidhaa za Mifupa na Viungo* kama* ::
1.Gluzojoint Capsule
2.Zaminocal Capsule
3.Arthroxtra Tablets
4.Arthrostreth Tablets
5. Dr Cow Calcium Milk Candy.
👉 Bidhaa za Kuongeza kinga za Mwili na kutibu kansa.
1. Pure & Broken Ganoderma Spores..
2. Refined Yunzhi Capsule..
3. Spirulina Capsules
4.Immunstrong Colostrum Powder
5. IMMUNE COFFEE
@4 in 1 Reish Coffee
@4 in 1 Ginseng Coffee
@4 in 1 Cordyceps Coffee
👉 Bidhaa za Mmeng'enyo Wa Chakula Tumboni na Kutibu Vidonda Vya Tumbo....
@Constirelax Solution
@antidiarr Pills.
@Novel depile Capsules.
√ Weight Management./
👉 Bidhaa za Kupunguza Unene.
@Xlim Express Capsules/Coffee....
@Xlim Constant Capsules/Coffee....
👉 Bidhaa(dawa) za Kuongeza hamu/ Nguvu za Tendo LA Ndoa na Kutibu matatizo yote ya kizazi na tezi dume....
@Manxtra tablets
@Xpower man Capsules
@Prostatrelax Capsules.
👉Bidhaa za Kutibu maradhi ya moyo(pressure,kisukari,kupooza,mzunguko Wa damu, kupunguza kolesto, kumbukumbu,macho n.k)..
"Cardiovascular health"
@Micro2 Cycle Tablets
@Cerebrain Tablets
@Glugogone capsules
@Pressure Free Tea.
👉Bidhaa za Matumiz Binafsi na Usafi/ Personal Care....
@Guardian Angel
-day Sanitary Pads
-Night Sanitary Pads.
-Panty liner.
@ Femicare
@Soap
-anatic herbal essence soap
-Oliver Oil Repair soap```
```Nb:- bf Suma ndio wanaoongoza kwa Utafit,
1.maabara, kuzalisha na kusambaza Bidhaa asili za thamani na viwango vya kimataifa juu na matumizi ya tecknolojia
5 bora za kisasa isiyo haribu au uhasilia Nazo ni
👉Amino Acid Chelation Technology (AAC).
👉 Combine Cryo-Enzym & Dua - Micronization Technology.
👉 Nano- Transderm Technology.
👉Macroporous Absorption Resin Technology.
👉Membrane Tech..
********
Maelezo zaidi unaweza kufuatilia web site www.bfsuma.com
0621 493 637
Comments
Post a Comment