MAGONJWA YANAYOSABABISHA WANAWAKE KUWA WAGUMBA P.I.D(pelvic inflammatory disease) na FIBROIDS inavyotesa wanawake na kuwasababishia ugumba. P.I.D NI NINI?? P.I.D ni maambukizi kwenye via vya uzazi wa mwanamke. Ugonjwa huu unaweza kupelekea uharibifu mkubwa kwenye mayai,mfuko wa uzazi,mirija ya uzazi nk . Pia ugonjwa huu ni moja ya UGUMBA kwa mwanamke.Huu ni ugonjwa unaosababishwa na kutotibu magonjwa ya zinaa kwa ufasaha na kuacha wale bakteria kuendelea kusambaa kwenye via vya uzazi wa mwanamke. Je utajuaje kwamba huenda umeathirika na ugonjwa huu wa P.I.D ???? DALILI ZA P.I.D 👉Maumivu ya tumbo sehemu ya chini au ya juu upande wa kulia 👉Kutokwa kwa uchafu ukeni usio wa kawaida na harufu mbaya(wengi hudhani ni fangas kumbe sio) 👉Maumivu makali na kutokwa na damu wakati wa tendo la ndoa 👉Maumivu wakati wa kukojoa 👉Kutapika na homa 👉Uchovu 👉Kutokwa kwa damu nyingi isiyokuwa na mpangilio wakati wa hedhi au wakati sio wa hedhi( hii dalili kubwa na huwa inafanan...
Comments
Post a Comment