Ijue BF SUMA Company profile Maana ya BF SUMA ni B- *Bright* ,, F- *Future* ,, S- *Superior* ,, U- *Unique* , M- *manufacturer of* A - *America* ... Mnamo mwaka 1993- bfsuma walianzia Hongkong {China} {kama kampuni ya kuzalisha madawa}ya mifupa na viungo {bones &Joints}.. ``` ```Mnamo mwaka 1995 - kampuni ilipanuka na kufungua Marekani katika Jiji LA Gharama kuishi Los Angeles na kuweka kiwanda Cha Kuzalisha Virutubisho {food Supplement}... Mnamo mwaka 2000:- kampuni ilipewa Vibali na Vyeti Vya kutambua Ubora wao kama :- G.M.P {Good Manufacturing Practice} na FDA {Food and Drugs Adminstration},,baadae kampuni tena Ikaendelea Pata Vibali kama G.L.P {Good Laboratory Practise } na Halal:- kibali cha utambuliz kwa jamii ya kiislamu na imani kuwa halali kwa matumiz..``` ```2004:- Waliweza kufungua soko lao Africa kupitia nchi iitwayo Benin 2011:- kampuni ilisogea hadi nchi jirani ya Kenya na kutua Afrika Mashariki...ambako imezaa vyema na kustawil Sana h...
Helpful
ReplyDelete