USIRUDI NYUMA
*"Acha kuogopa wala kukatishwa tamaa na kitu chochote katika maisha yako kwa kuhofu kuwa pengine hayo malengo yako hayawezi kutimia.
*Kila kitu kinawezekana na hakuna kitu kinachoshindikana kwako hata kidogo.
Anza kutekeleza malengo yako kidogo kidogo hata kama ni makubwa vipi, lakini tambua kuwa ni lazima uyafikie"
BF SUMA, BETTER LIFE, BETTER FUhTURE.
@shukrani magoti
Comments
Post a Comment