SULUHISHO LA KINGA YA MWILI
[07:18, 11/2/2019] Ralph🌡💊💉🦠🧬🔬: MIILI YETU I SALAMA SALMINI ni nini hutulinda? Nini hisaidia miili yetu kujilinda dhidi ya virusi au bacteria? Jibu *MFUMO WA KINGA* ✔watu huzaliwa na mfumo wa kinga ✔mfumo wa kinga huulinda mwili dhidi ya virusi,bacteria,fangasi wabaya ✔asilimia 99% ya nagonjwa ya binadamu huhusiana /yanatokana na mfumo wa kinga MFUMO WA KINGA UNAWAJIBIKA KATIKA KUPAMBANA NA 👉sumu 👉hewa chafu 👉fangas wabaya 👉virusi 👉bacteria wabaya 👉parasites Katika mwili wa binadamu kuna organi ambazo zinahusika na mfumo wakinga ▪TONSILS na ADENOIDS ▪LYMPH NODES ▪LYMPHATIC VESSELS ▪THYMUS ▪SPLEEN ▪PEYERS' PATCHES ▪APPENDIX ▪BONE MARROW Mfumo wa kinga unahusisha vifuatavyo (Components of immune system) ▪Immune cells ▪lymphocytes ▪immune molecular ▪immunoglobulin ▪cells factors Haya yote niliyoyataja hapo juu yanahusika na ulinzi wa mwili dhidi ya magonjwa Sasa tuangalie jinsi *mfumo huo wa ulinzi* ulivyo MFUMO WA ULINZI( *defe...